Monday, October 21, 2024

WATOTO WA DARASA LA PILI WAKIONESHA UJUZI WAO.

Wanafunzi wa darasa la pili wakionesha ujuzi wao wanaoupata kutoka kwa waalimu wao. Ukitaka kujua hata nusu ya uwezo wa waalimu wao ebu wasikilize hawa watoto. Hata mwalimu asipokuwepo no problem kipindi kinaendelea tu. #The_Glory_Pre_School #The_Glory_Primary_School #The_Glory_Secondary_School

No comments:

Post a Comment

    • Popular
    • Categories
    • Archives