Friday, September 15, 2023

WAALIMU WA DARASA LA SABA KUTOKA SHULE YA MSINGI THE GLORY WAKIFANYA UTALII WA NDANI KATIKA MKOA WA MBEYA

Baada ya mikiki mikiki ya muda mrefu kuandaa watoto kwa ajili ya kufanya mtihani wa Taifa wa kumaliza elimu ya msingi, uongozi wa shule ya msingi The Glory uliamua kuwapeleka waalimu wake kutembelea vivutio mbali mbali vilivyopo mkoani Mbeya ikiwemo daraja la Mungu na Kijungu vinavyopatikana katika mto kiwila katika wilaya ya Rungwe.Jionee mwenyewe hali ilivyokuwa hapo chini.

No comments:

Post a Comment

    • Popular
    • Categories
    • Archives