SLIDE 1

OUR PUPILS

SLIDE 2

OUR NURSERY PUPILS

SLIDE 3

OUR SCHOOL MANAGING DIRECTOR

If you are going [...]

SLIDE 4

OUR HEAD TEACHER

SLIDE 5

OUR SCHOOL MANAGER

Friday, September 15, 2023

WAALIMU WA DARASA LA SABA KUTOKA SHULE YA MSINGI THE GLORY WAKIFANYA UTALII WA NDANI KATIKA MKOA WA MBEYA

Baada ya mikiki mikiki ya muda mrefu kuandaa watoto kwa ajili ya kufanya mtihani wa Taifa wa kumaliza elimu ya msingi, uongozi wa shule ya msingi The Glory uliamua kuwapeleka waalimu wake kutembelea vivutio mbali mbali vilivyopo mkoani Mbeya ikiwemo daraja la Mungu na Kijungu vinavyopatikana katika mto kiwila katika wilaya ya Rungwe.Jionee mwenyewe hali ilivyokuwa hapo chini.

Tuesday, September 12, 2023

THE GLORY PRE AND PRIMARY ENGLISH MEDIUM SCHOOL YAWAPIMA WANAFUNZI WA DARASA LA SABA UTIMAMU WA AKILI NA KUMBUKUMBU KUELEKEA MITIHANI YAO TAIFA HAPO KESHO 13/9/2023-14/9/2023.

The Glory pre and primary English Medium Schools iliyopo mji wa Mafinga mkoani Iringa imekuwa na huo utaratibu wa kupima wanafunzi utimamu wa akili na kumbukumbu kabla ya mitihani ya kitaifa hii ndio siri pekee ya ushindi katika mitihani yao aidha zoezi hili la upimaji wa kumbukumbu limeongozwa na walimu wote wanaofundisha darasa la saba endeleaa kufuatilia video clip utaona walimu wakijipima ila kubwà zaidi wanafunzi wakipimwa utimamu wa akili na kumbukumbu kupitia mazoezi mbalimbali.The Glory schools inaungana na wadau wa Elimu kuwatakia wanafunzi wa darasa la saba kila la kheri katika mitihani yao na safari ya kuhitimu elimu ya msingi.

    • Popular
    • Categories
    • Archives